December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mgombea Urais ADC Achukua Fomu ya Urais

Mgombea Urais kwa tiketi ya Allance for democratic change ADC Queen sendiga akiwa na mgombea mwenza Shoka Juma leo wamefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi zilizopo katika eneo la Njedengwana kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais