Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akizungumza na wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kueleza sera zake zake na kuzitekeleza mara atakapochaguliwa.
Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akizungumza na wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kueleza sera zake na kuzitekeleza mara atakapochaguliwa.Kikundi cha akina mama wa Sauti ya Jamii Kipunguni wanaojishughulisha na ujasiriamali, pamoja na kuelimisha madhara ya vitendo vya ukeketaji wakielezea jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala mbele ya mgombea ubunge Jimbo la Ukonga Jerry Silaa .Mpigapicha Wetu
More Stories
Shekhe Mavumbi ahamasisha waislamu kupiga kura
Naibu Waziri Nderiananga awasilisha salamu za pole msiba wa mdogo wake Lukuvi
Kiongozi wa Mwenge apongeza wananchi kupelekewa huduma ya maji Handeni