January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mgombea CCM Rais John Magufuli apiga kura Dodoma

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wamepiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akipiga kura katika Kituo cha Kupigia kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.