Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online
Mawakala Tanzania wa kampuni ya LG wapatiwa mafunzo maalumu kuhusu teknolojia mpya za kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ukanda wa Afrika Mashariki Dongwon Lee ametoa mafunzo hayo kwa mawakala hao.
Akingoza watendaji na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika semina ya Mawakala (Dealers Seminar) ya aina yake Jijini Dar-es- Salaam ambapo pamoja na mambo mengine mawakala hao walipewa mafunzo maalumu kuhusu teknolojia mpya za LG.
Mbali na semina hiyo mawakala hao walishiriki katika kipindi cha maswali na majibu ambapo washindi walijinyakulia zawadi mbalimbai za kusisimua kutoka LG.
Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Balozi wa Korea nchini KIM, Sun Pyo na Balozi wa India nchini Binaya Srikanta Pradhan
More Stories
Serikali yaja na mwarobaini wa changamoto ya Kivuko Magogoni – Kigamboni
Kisarawe kukata keki ya Birthday ya Rais Samia
Wataalam wa afya wakutana kujadili ugonjwa wa Marburg