January 5, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mchongo wa wese Kitonga kutoka NMB FRI-YAY

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Kabla haujaweka gia na kuanza safari, pitia kwanza huu mchongo wa wese kitonga uliopewa nguvu na NMB Friyay ambapo, ukilipia kwa NMB mastercard/ Lipa Mkononi (QR) utapata punguzo kabambe!!

Kubwa zaidi, kwa kituo Cha Puma Upanga, kama Umebima na NMB, utapata punguzo la 20%💃🏽