Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM ,Anthony Mavunde ameendelea na awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbali katika maeneo husika.
Mavunde ameendelea na ziara yake kata ya IHUMWA na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya ;

-𝘾𝙝𝙖𝙣𝙜’𝙤𝙢𝙗𝙚
-𝘾𝙝𝙞𝙡𝙬𝙖𝙣𝙖
-𝙄𝙡𝙤𝙡𝙤
-𝙄𝙝𝙪𝙢𝙬𝙖
Mavunde pia alitumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Ihumwa Edward Magawa

More Stories
Bilioni 7 kuwainua vijana 308 sekta ya uvuvi
Clara:Miaka 50 ya Sabasaba fursa mpya za Biashara na Uwekezaji
Usajili wa Laini za Simu: Jilinde Dhidi ya Kutumiwa Vibaya kwa Utambulisho Wako