December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha, George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar.

Rais Shein aapisha Majaji wa Mahakama Kuu (PICHA)

Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar pamoja na Mawakili wakiwa katika hafla ya kuapishwa, George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, leo Ikulu ya Zanzibar. Picha na Ikulu
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid wakati wa hafla ya kuapishwa, George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Kabla ya hapo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria. Picha na Ikulu.