January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

MastaBata Kotekote na NMB, Zawadi nono kutolewa kila wiki, mwezi

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Una ndoto ya kumiliki Bodaboda? Timiza ndoto yako kwa kuendelea kutumia kadi ya NMB mastercard au Lipa Mkononi (mastercard QR) kufanya malipo, ujiwekee nafasi ya kushinda boda boda kila wiki au kila mwezi. #NMBKaribuYako #MastaBataKoteKote