December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Masauni achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais SMZ

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, kulia ni mkewe, Thania Abdulla. Masauni amechukua fomu hiyo leo katika ofisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar .Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar. Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akikabidhiwa maelekezo maalumu na Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,Garosi Nyimbo baada ya kufika Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida