January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makonda afanyiwa maombi na Mama Janeth Magufuli

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Mama Janeth Magufuli ambaye ni mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Paul Makonda nyumbani kwake Chato mkoani Geita na kumfanyia maombi maalumu ya kumtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya kama Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM

Komredi Makonda anaendelea na ziara yake katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo jana Novemba 10, 2023 aliingia Chato mkoani Geita akitokea Bukoba na kutembelea kaburi la Hayati Magufuli pamoja na kuzungumza na wakazi wa wilaya Chato