December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Maelefu wajitokeza kuaga mwili wa hayati Magufuli, Zanzibar

Wananachi mbalimbali Zanzibar wamejitokea kwa ajili ya kuupokea mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,
Makamanda wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, baada kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na kupelekwa Uwanja wa Amaan kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)