January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Maandalizi ya uzinduzi matokeo ya Sensa yaendelea,Dodoma


 
Na Mwandishi wetu,Timesmajiraonline, Dodoma.

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Kaspar Mmuya  Oktoba 25, 2022 ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji inayohusisha Makatibu Wakuu Kwaajili ya  Maandalizi ya Uzinduzi Wa Matokeo Ya Kwanza ya Sensa ya Watu na Makazi  Utakaofanyika Oktoba 31,2022 Katika Uwanja Wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo.