January 14, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

LATRA CCC watoa mafunzo ya matumizi ya tiketi mtandao kwa wasioona

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Wanafunzi wa mwaka wa pili wa shahada ya habari na mawasiliano ya umma Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tumaini Dar es Salaam wakiwa ndani ya mapango ya amboni Tanga ikiwa ni sehemu ya ziara ya kumuunga mkono Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye kuhamasisha sekta ya utalii Nchini.
Picha na Julius Peter Swai TUDARCo.
Kaimu Katibu Mtendaji baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri ardhini LATRA CCC, Leo Ngowi (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya wasioona Tanzania Omari Itambu (wa kati kati) wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Kutoa mafunzo ya matumizi ya tiketi mtandao kwa wasioona.
Picha na Victoria Mwakisimba TUDARCo