January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Kuagwa kwa wafanyakazi watano wa TRA

CAPTION
Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwenye majeneza yenye miili ya wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliofariki juzi kwa ajali wakati wakifukuza gari ambalo linadhaniwa lilikuwa na mali za magendo. Watumishi hao waliagwa jana jijini Mbeya. Picha na Esther Macha.