January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Kikao kazi na wahariri wa vyombo vya habari kwa uratibu wa ofisi ya msajili wa Hazina

NSSF wanatarajia kuwa na kikao kazi na Wahariri wa vyombo vya Habari kwa uratibu wa ofisi ya msajili wa Hazina

Kikao hicho kitafanyika kesho tarehe 25 Septemba, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Pia Kikao hicho kitaanza saa 3: 00 asubuhi.