December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Katibu CUF Tandahimba atimkia Act Wazalendo

Na Mwandishi wetu,timesmajira

Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Tandahimba Abasi Jogologo’ amekihama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo tarehe 11 Machi 2023 Tandahimba Mjini.