December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Kampeni ya maokoto yaendelea kunufaisha jamii

KAMPENI ya Maokoto ndani ya kizibo inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweries (SBL) imeendelea kuwa chachu ya maendeleo nchini kwa kunufaisha jamii kujishindia kiasi cha fedha shilingi laki tano jambo ambalo limekuwa likikuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam Elizabeth Bilia akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Hoza Tezura (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya 2 Point Pub Desemba 22, 2023.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam Elizabeth Bilia, akiwa ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi Laki tano mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Mauzo Hoza Tezura wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya 2 Point Pub Desemba 22, 2023.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam Elizabeth Bilia (kulia) na Dada yake Hidaya Iddi (kushoto) wakiwa wameshikilia mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Hoza Tezura (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya 2 Point Pub Desemba 22, 2023.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Hoza Tezura akizungumza na wateja kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi ya mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni Elizabeth Bilia mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam iliyofanyika kwenye baa ya 2 Point Pub Desemba 22, 2023.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam Elizabeth Bilia akifurahia jambo na Meneja Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Hoza Tezura wakati wa hafla ya makabidhiano ya zawadi ya mshindi wa promosheni ya kwenye baa ya 2 Point Pub Desemba 22, 2023.