Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba 04, 2023.Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) wakipata maelezo ya ramani ya mradi ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba 04, 2023.
More Stories
Sekta ya madini yakusanya zaidi ya bil.900 hadi kufikia Mei 15,2025
WCF yawataka waajiri kutekeleza wajibu wao
Airtel yazindua tena maduka mapya Dar