December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Bale, Rodriguez wapigwa chini Madrid

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Gareth Bale hajatajwa kwenye kikosi cha Real Madrid kitakachocheza dhidi ya Manchester City hapo kesho kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya kwa msimu wa 2019/20.

Zidane aliwataja wahezaji 24 tu waliosafiri na timu huku akimuweka SergioRamos aliyepewa kadi nyekundu kwenye mchezowa 16 bora. James Rodriguez aliachwa na yeye bila sababu za msingi huku Mariano Diaz akibaki nyumbani baada ya kukutwa na maambukizi ya Corona.

HIKI HAPA KIKOSI CHA REAL MADRID KITAKACHO VAANA NA MANCHESTER CITY