January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Historia mpya kuwekwa Dar

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Taifa letu siku ya Alhamisi, tarehe 22 Disemba 2022 linatengeneza historia mpya: Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anakwenda kuzindua rasmi zoezi la kuanza kujaza maji kwenye bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 78.

Ndoto na matarajio makubwa ya watanzania yaanza kutimia.Fuatilia tukio hili la kihistoria kweye vyombo vyote vya Habari 22 Disemba 2022 mubashara kutoka Rufiji.