January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Habari picha: Mbunge wa Malinyi uso kwa uso na Waziri Mkuu Bungeni

bunge wa Malinyi Antipas Mgungusi (CCM) akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa asubuhi ya Leo tarehe 15.04.2024,Bungeni akizungumza naye juu ya hali ya uharibifu wa miundombinu katika Jimbo la Malinyi kutokana na athari za Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na Mto Furuwa.