[Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof Kitila Mkumbo (aliyesimama katikati) akimsikiliza Meneja uzalishaji wa Kiwanda Cha KMTC kilichoko Moshi, Hamisi Hango (Mwenye fulana nyeusi) juu ya mashine mbalimbali zinazotengenezwa na Kiwanda hicho kilichopo chini ya Shirika la Taifa la Maendeleo NDC Katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam jana. Na mpiga picha wtu
More Stories
NMB: Ukaguzi wa ndani, msingi wa utawala bora
MVIMWA: kutekeleza mradi wa maji vijiji viwili wilayani Nkasi
Briquettes yaibua fursa kupunguza gharama nishati kupikia