Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online
MSANII wa muziki wa Bongo fleva mwenye vituko vingi kwa upande wa wanawake hapa nchini, Gift Stanford maarufu kama ‘Gigy Money’, amewaambia Watanzania wanaotoka mapovu pindi mtu anapoiga kitu fulani kwani kwa kufanya hivyo sio dhambi.
Akiweka wazi hilo huku akitupia picha katika Ukurasa wake wa Instagram Gigy Money amesema, anawashangaa sana Wabongo hasa kwa kuoayuka maneno pindi unapomuinsipire mtu fulani.
“Ngoja nipost picha zangu za pool mie kabla atuja ambiwa tumeiga.Ila wabongo kiboko, mtu bongo utakiwi kuwa inspired eti khaaaa unaiga!!,” ameandika Gigy Money.
More Stories
GETHSEMANE GROUP KINONDONI yaja na wimbo wa siku yetu kwaajili ya harusi
Startimes yazindua makala ya China, Africa
Mwanasheria wa Katavi aliyetimkia kwenye muziki achaguliwa tuzo za MIEMMA