March 7, 2026

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Enock Koola historia imejirudia Jimbo la Vunjo

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online

Mfanyabiashara na Mkandarasi Enock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1,999 Kati ya 4,080,akiwabwaga washindani wake watano wakiongozwa na Mbunge anayemaliza muda wake Dkt. Charles kimei aliyepata kura 861 na kushika nafasi ya pili.

Historia imejirudia kwa mara nyingine ambapo 2020 alipita kura za maoni na hatimaye 2025 sauti za wanavunjo zimesikika.

Ushindi huu unaashiria mwanzo wa zama mpya za maendeleo kwa wana Vunjo.