Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Makamu wa Rais amewasili nchini Uganda ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi 25 Wanachama Wazalishaji wa Zao la Kahawa.




More Stories
Louis-Olivier Favot Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Mixx
Ilemela yakusanya bil. 4.37
Chunya kuwaburuta mahakamani wadaiwa wa mil.600