April 16, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt.Mabula aomba mabonde Ilemela yatumike kwa Kilimo cha umwagiliaji

Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Ilemela Dkt.Angelinq Mabula ameiomba Serikali kutumia mabonde mazuri yaliyopo katika Jimbo Hilo kwa ajili ya kuiwezesha wananchi kufanya shughuli za Kilimo Cha umwagiliaji Cha mbogamboga.

Dkt.Mabuka ametoa kauli hiyo Leo April 9,Bungeni jijini Dodoma wakati akiuliza swali la nyongeza kuhusu Kilimo cha umwagiliaji Cha mbogamboga katika kata ya Nyamongolo eneo la Nyamadoke na kata ya Isangabiye

bo la Ilemela Lina mabonde mazuri kwa ajili ya Kilimo Cha umwagiliaji ,na bahati nzuri Wizara ya Kilimo iliahenda kufanya upembuzi yakinifu katika kata ya Nyamongolo eneo la nyamadoke na kata ya Isangabiye eneo la igalagala na wakakamilisha upembuzi huo,je lini sasa kazi ya kuchimba visima kwa ajili ya kuanza Kilimo Cha umwagiliaji wa mbogamboga itakamilika Ili wananchi waweze kufanya kazi yao vizuri

silinde

tayari magari wanayo na sasa hivi hatua iliyopo Wizara ya Kilimo wanakweda kufanya savei Ili kupata urefu wa maji
kazi hiyo itaanza kuanzia mwaka huu wa fedha na mwaka ujao wa fedha