December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Desemba 18 yatajwa kuwa kumbukumbu ya DMX

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online

NCHI ya Marekani imeamua kuteua siku ya tarehe 18, Disemba kama siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha kifo cha aliyekuwa Staa wa Hip-Hop nchini humo marehemu Dmx kila mwaka.

Hafla kama hizo hufanyika kwa sababu ya Heshima za mtu aliyekua mashuhuri ikiwa kama ishara ya kumkumbuka kwa alama kubwa aliyoiacha ulimwenguni Mfano ilivyo kwa Viongozi wetu hapa Nchini (Nyerere Day , Karume day N.k ).

Hata hivyo, hiyo itakuwa kwa mji wa NewYork uliopo nchini marekani na watakuwa wakishiriki maadhimisho hayo kwa mpendwa wao marehemu DmX

Dmx alifariki katika hospitali ya whiteplains tarehe 9 April mwaka huu, kwa kuzidisha dozi ya dawa za kulevya na kuzikwa April,25 mjini New York, Marekani.

%%%%%%%%%%%%%%%%%