Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Hakuna jambo ambalo limekuwa likiwapa watu wakati mgumu kama migogoro ya ardhi, kuna jamii hasa za wafugaji na wakulima zimekuwa zikifikia hatua ya kupigana kutokana na ardhi.
Jina langu ni Moleli kutokea Meru, kuna ndugu yetu aliwahi kuleta ugomvi na familia yetu kisa ardhi ambayo alikuwa anadai ni yake lakini kiuhalisia haikuwa yake maana katika ukoo kila moja alishapewa eneo lake.
Alichokuwa anafanya ni kutaka kutupora eneo letu, hata wazee wa kimila walimuendea na kumuambia hakuna kitu kama hicho maana wakati eno hilo lilipogawanywa na Babu yetu wao walikuwepo kama mashahidi.
Hata hivyo, hakuweza kusikia, kila mara alikuwa anakuja nyumba na kuanza kupiga kelele wakati wa jioni hasa akiwa amelewa na kusema eneo ambalo ipo nyumba yetu ni la kwake.
Kitu ambacho kamwe siwezi kuja kusahau ni pale siku moja tulipoamka asubuhi kukuta amefungulia ng’ombe na mbuzi wake katika mazao yetu ya mahidi ambayo tulikuwa tunategemea kwa ajili ya chakula.
Tulishindwa hata kitu gani cha kufanya maana hayo mazao hatuwezi kuyapata tena hata tukisema tukamshtaki atulipe itakuwa ni kazi bure tu maana hana uwezo wa kulipa na maisha yake yote tunaweza kusema kwa ajili 100 anayepambana ni mke wake.
Hili liliniumiza kichwa sana, basi siku moja nikiwa kwenye mitandao ya kijamii niliona mjadala kuhusu migogoro ya ardhi katka jamii, katika kusoma maoni ya wachangiaji mada (comments) niliweza kuona ujumbe wa jamaa mmoja aliyesema kuwa Dr Bokko ana uwezo wa kushughulia hilo.
Nilimfuata inbox yake katika mtandao huo na ndipo aliponipatia namba ya Dr Bokko ambayo ni +255618536050, nilichukua uamuzi wa kuwasiliana naye na kumuomba anisaidie kuondoa mgogoro huo wa ardhi katika familia yangu.
Kiukweli nashukuru baada ya tiba yake tangu wakati huo ule mgogoro uliisha kwani yule ndugu yetu alikuja kuumwa sana hadi kuwaita wazee wa kimila na kuwatuma waje nyumbani kwetu kuomba msamaha. Walikuja tukawasikiliza na sisi tulikubali kumsamehe maana ni ndugu kabisa.
Tangu wakati huo hajarudia tena kuleta mgogoro wa ardhi ndani ya familia na amekuwa mtu mpole sana, anajua akirudia tena hilo anaweza kukumbana na kuumwa kwa ajabu!. Asante sana Dr Bokko.
More Stories
Serikali kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakaniÂ
Sekondari ya Butata mbioni kufunguliwa Musoma Vijijini
TIC yapongeza mradi wa Kampuni ya Big Best