November 6, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

 Cheza Sloti ya  Circus Fever Deluxe upate utajiri

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira

Sloti ya Circus Fever Deluxe

Huenda ulikuwa unajiuliza kila mara,  sehemu gani ya kubashiri au njia gani ufanye ili kuweza kushinda kirahisi kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ondoa shaka majibu ya haya yanapatikana kwenye hii sloti ya Circus Fever Deluxe inakupa utaratibu wote.

Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna tofauti kidogo, huku kuna wacheza sarakasi na Wanyama ambapo wanashindana sehemu moja mchezo huu unapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ina mchezo wa Plinko ambapo mchezaji atabashiri namba 5 kati ya (1,2,4,6 na 9) ikisindikizwa na michezo miwili ya bonasi ya kasino ya mtandaoni.

Zingatia: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo wa kasino ya mtandaoni uupendao, jisajili sasa.

Jinsi ya Kuchezo mchezo wa Plinko

Hapa kuna hatua kuu za kucheza Plinko kasino:

  1. Weka dau lako: Kabla ya mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuanza, unahitaji kuweka dau lako. Kiasi cha dau lako kitategemea malipo ya uwezekano ikiwa utashinda.
  • Achia kete: Mara baada ya dau lako kuwekwa, mchezo utaanza. Unahitaji kuachia kete kwenye ubao wa vibonye na safu kadhaa za vibonye. Kete itapiga vibonye wakati inaanguka, na hatimaye kutua kwenye mojawapo ya mashimo kadhaa chini ya ubao.
  • Pokea ushindi wako: Mashimo ambayo kete inaweza kutua yataamua ushindi wako. Kila shimo linahusishwa na malipo tofauti, hivyo uwezekano wa malipo utategemea mahali ambapo kete inatua.
  • Endelea kucheza: Unaweza kuendelea kucheza Plinko kwa kuweka dau jingine na kuachia chombo kingine.

NB: Ni muhimu kuzingatia kwamba mchezo wa Plinko unategemea bahati, kwa hivyo hakuna mkakati wa kuongeza nafasi zako za kushinda. Vilevile kwenye sloti hii ya Circus Fever Deluxe ukicheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapata bonasi za aina tofauti kama vile: Dice Bonasi na Coin Flip/Geuza Sarafu, kila moja ina namba zake za ushindi.

Bonasi ya Mizunguko: Ushindi unapatikana kwenye namba hizi: 2,3,5,710,12,15,22,2530,50

Coins Flip/ Geuza Sarafu: 2,3,4,5,8,10,12,15,16,20,24,30