TAARIFA KWA UMMA
*KATIBU MKUU WA CCM ATHIBITISHA KUPOKEA BARUA YA KUJIUZURU KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA*
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel G Chongolo leo tarehe 06 Januari, 2022 amethibitisha kupokea barua ya Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) ya kujiuzuru nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katibu Mkuu ameeleza kuwa mchakato wa kumpata Spika mwingine baada ya nafasi hiyo kubaki wazi unaendelea.
Imetolewa na;
Said Said NguyaAfisa Habari Ofisi ya Katibu Mkuu CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
More Stories
Waziri Mavunde:Benki Kuu yanunua tani 2.6 za Dhahabu nchini
Kampeni msaada wa kisheria ya mama Samia kutatua kero za kisheria Katavi
Wizara ya madini yakusanya bil.521 nusu ya kwanza mwaka wa fedha 2024/25