Na Esther Macha,Timesmajira Online,Mbeya MKUU wa Wilaya ya Mbarali Kanali Maulid Surumbu amesema serikali inatambua changamoto za wazee ikiwepo jamii...
Habari
Na Jackline Martin, TimesMajira OnlineKatika kuunga mkono juhudi za serikali, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba wa makubaliano na kampuni...
Na Moses Ng'wat, Songwe. SERIKALI imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 10.84 kwa ajili ya mradi wa kusambaza umeme kwenye vitongoji...
Je, umewahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati maishani?, ukweli ni kwamba kuna watu wana bahati sana katika maisha...
📌 Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti 📌 Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasa kwa kutumia Nishati...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Access Bank PLC imekamilisha mchakato na kukidhi vigezo vyotevya kisheria na vya kikanuni kuhusiana naununuzi wa African Banking CorporationTanzania Limited (BancABC Tanzania). Sasa taasisi hii inaitwa Access Bank Tanzania Limited, jambo ambalo linapanua zaidi uwepowa Access Bank katika ukanda wa Afrika Mashariki. Hatua hii itakuwa ni mwendelezo uliofuatana naununuzi wa wateja binafsi, na wafanyabiasharawa kati wa Standard Chartered...
Na Esther Macha, Timesmajira Online, Mbeya KUELEKEA Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, mwaka huu, Mkuu wa Mkoa wa...
Na Hadija Bagasha, Timesmajira Online,Tanga CHAMA cha Ushauri wa Wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati Tanzania (TACOGA 1984),kinafikiria kushirikisha...
Na Jackline Martin, TimesMajira Online KIPINDI cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kimekuwa cha mafanikio makubwa...
Fresha Kinasa, TimesMajira Online Musoma. MKUU wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi,amelihimiza Shirika lisilo la Kiserikali linalotekeleza mradi wa...