Afisa Tawala wa Wilaya ya Ilala, Charangwa Selemani ambaye alikuwa mgeni rasmi leo kwenye siku hiyo akizungumza kwa niaba ya...
Habari
Na Mwandishi Wetu MABEKI wa Simba SC, Shomari Kapombe Na Mohamed Hussein 'Tshabalala' wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa...
Judith Ferdinand, TimesMajira Online MwanzaWatuhumuwa wawili wa wizi katika matukio tofauti wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wameshambuliwa na wananchi wenye hasira...
Na Mwandishi wetu,Timesmajiraonline, Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Humphrey Polepole ameshiriki katika zoezi la kukabidhi misaada ya Kibinadamu kutoka Tanzania...
-Watatu waliothibitika wanaendelea na matibabu Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online, Kagera, Bukoba Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hadi...
DC MPOGOLO AONGOZA KAMPENI YA USAFI ILALA Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, Ilala Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, Ilala Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Omary Kimbilamoto, amewataka wazazi Wilayani...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, llala Mbunge wa Jimbo la Ilala Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa...
Na Martha Fatael, TimesMajira Online, Moshi MFUMO wa uagizaji dawa na vifaa tiba kwa njia ya kieletroniki utasaidia kuharakisha utoaji...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Kamati yapitisha makadirio ya matumizi na maendeleo 2023/2024 kwa Wizara Uwekezaji Viwanda na Biashara. Kamati...
