Na David John, timesmajira,online MWANAHABARI ambaye pia ni Mhariri wa Magazeti ya Kampuni ya New- Habari 2006,Bakari Kimwanga leo amechukuwa...
Kitaifa
Na Allawi Kaboyo TimesMajira Online, Biharamulo. KASI ya uchukuaji fomu na urejesha za kugombea ubunge na udiwani kwa wanachama wa...
Na Joyce Kasiki,timesmajira online ,Dodoma ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa jimbo Dodoma Mjini mwaka 2010-2015,Dkt.David Malole amechukua fomu tena akiombaridhaa ya...
Daud Magesa na Judith Ferdinand, Mwanza BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufungua pazia la uchukuaji wa fomu za kinyang’anyiro...
Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Vipimo nchini (WMA), unatarajia kuanza kupima mita za umeme kuanzia Oktoba mwaka huu ili kuwawawezesha...
Na Allan Vicent, Tabora ZOEZI la uchukuaji fomu za kugombea ubunge na udiwani kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Na Joyce Kasiki,timesmajira online WANAHABARI wamechomoza katika siku ya kwanza ya uchukuaji fomu wakiomba kusimamishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Na Mwandishi wetu,timesmajira ,Online WANANCHI wa Mkoa wa Pwani wanatarajia kuanza kupata matibabu katika kituo kipya cha Taasisi ya Huduma...
Na David John, timesmajira, online KADA wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Kata ya kipawa wilayani ilala mkoani Dar es Salaam...
Na Penina Malundo,timesmajira ,Online WAANDISHI wa Habari wamejitosa katika kuwania nafasi za Ubunge na udiwani katika maeneo mbalimbali ya nchi....