ABUJA, Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amemtaka Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Ibrahim Tanko Muhammad awaachilie huru wafungwa ambao wamekuwa...
Kimataifa
WASHINGTON, Serikali ya Marekani imedai inafuatilia taarifa za kiintelijensia zinazoelekeza kuwa, Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un yupo hoi...
NAGASAKI, Zaidi ya mabaharia 34 waliokuwa kwenye meli ya safari za kitalii iliyotia nanga katika mji wa Nagasaki nchini Japan...
Na Mwandishi Wetu YAUNDE, Ofisi ya Rais wa Cameroon imekiri kuwa wanajeshi watatu walishirikiana na wanamgambo wenye silaha kuwaua raia...
Na Mwandishi Wetu, GENEVA Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa mwongozo mpya wa kuweza kusaidia kubaini mapema ukosefu wa madini...
Na Mwandishi Wetu, NEW YORK Mataifa mbalimbali duniani yametakiwa kuchukua tahadhari kubwa kutokana na hofu ya baa la njaa inayotarajiwa...
GENEVA, Zaidi ya watu 80,000 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanatarajiwa kupatiwa misaada ya kibinadamu baada ya kuathiriwa na...
Na Mwandishi Wetu WASHINGTON, Shirika la Fedha Duniani (IMF) linatarajia kutoa dola bilioni 11 kwa nchi 32 za Afrika zilizopo...
NAIROBI, Mwandishi mashuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia kwa kugongwa na daladala (matatu) katika barabara ya...
Na Mwandishi Wetu MATAIFA mbalimbali yameendelea kuimarisha hatua za kukabiliana na ugonjwa wa Corona kwa kuoneza siku zaidi ya watu...