Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefariki dunia hii leo, Februari 10, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam..
Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango.
Lowassa alikuwa waziri mkuu kati ya mwaka 2005 hadi 2008 chini ya uongozi wa Dkt. Jakaya Kikwete.
More Stories
Jay-Z aunganishwa na P Diddy kwa kumdhalilisha binti wa miaka 13
Rais Samia afanya uteuzi
Waliombaka, kulawiti binti wa Yombo, Dar jela maisha