January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

BREAKING NEWS; Kada wa CHADEMA Mdude Nyagali ashinda kesi

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira,Online Mbeya

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali aliyekuwa akishtakiwa kwa kukutwa na dawa za kulevya.

Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali akisalimiana na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) hivi karibuni kesi yake ilipotajwa na

Mdudu ameachiwa na Mahakama hiyo leo baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuwasilisha ushahidi wa kuweza kumtia hatiani.