Na Heri Shaaban, Timesmajira Online,Ilala
Bilioni 4.2, zinatarajia kutumika kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ghorofa katika shule ya sekondari Juhudi iliyopo Gongolamboto Wilaya ya Ilala mkoani Dar-es-Salaam.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jery Silaa,wakati wa mahafali ya nane ya kidato cha sita ya shule hiyo,ambapo alikabidhi vyeti kwa wanafunzi 343 wa kidato cha sita wanatarajia kufanya mitihani yao hivi karibuni
Hivyo amemuagiza Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Jiji la Dar-es-Salaam,Mwl,Mussa Ally,kuharakisha mchoro wa ujenzi wa shule ya kisasa kama iliyopangwa kujengwa Kitunda.
Ofisa Elimu Halmashauri ya Jiji la Dar-es-Salaam Mwalimu Mussa Ally,amesema Halmashauri hiyo ina shule 61 za sekondari, na hivi karibuni wanatarajia kusajili shule zingine tatu.
More Stories
Dkt. Biteko avutiwa mwitikio Tulia marathon
Mapato yasiyo ya kodi yafikia asilimia 67, OMH yadhamiria kufikia lengo la mwaka
Watu Wenye Ulemavu wamchangia Samia Milioni 1 kwa ajili ya Fomu ya Urais