January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Benki ya NMB yashiriki kilele cha wiki ya Sheria Dodoma

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online.

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma.

Pichani, Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi akisalimiana na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.