January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Balozi Mushy awasilisha hati za utambulisho kwa Rais Austria

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen, leo tarehe 05 Mei 2022

Januari 2022, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alimteua Balozi Mushy kuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria.