January 17, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Bahati Rajabu wa Kilosa ashinda milioni 8 za bikosports

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Kilosa

KAZI wa Magulu, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro, Bahati Rajabu Ally, amefanikiwa kupenya kwenye duara la Bongebonasi ya mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali ya bikosports kwa kushinda sh milioni 8.

Akizungumzia ushindi wake, Ally anayejishughulisha na kilimo, alisema fedha zake hizo zitamsaidia katika gurudumu la maisha yake, sanjari na kuwekeza kwenye kilimo kwa ujumla.

Alisema amepata fedha zake za bikosports bila usumbufu wowote, jambo linaloufanya mchezo huo uwe na tija kwa Watanzania wote.

“Niliweka mkeka wa Bikosports nikashinda sh Milioni 8 ambazo zimekuja wakati ambao nazihitaji fedha hizi kwa ajili ya kurahisisha maisha yangu ya kila siku.

“Naomba Watanzania wenzangu nao wabashiri matokeo ya michezo kwa kupitia bikosports ili nao wavune fedha kama nilivyoshinda mimi, ambao unapokea ushindi wako mara baada ya mkeka wako kutiki, huku namba yangu ya kampuni ikiwa ni 101010.

Watanzania wanaweza kubeti moja kwa moja kwa kupitia mtandao ambao ni kwa www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaobeti kwa kwa kucheza 14989# ambapo namba ya kampuni ni 101010 na kutoa nafasi kubwa kwa watu wote kubashiri na kupata ushindi kwa asilimis kubwa nchini.

Mkazi wa Magulu wilayani Kilosa, mkoani Morogoro (katikati) akionyesha shauku yake baada ya kupokea fedha zake sh milioni 8 alizoshinda kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo wa bikosports kutoka kwenye kilele chake cha bongebonasi.