Na Penina Malundo, Timesmajira WANAFUNZI 188,787 waliokidhi vigezo wakiwemo wanafunzi wenye mahitaji maalum 812 wamechaguliwa na kupangiwa kujiunga na Kidato...
Penina Malundo
Na Mwandishi wetu, Timesmajira MAABARA ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imepata ithibati ya Kimataifa inayojulikana dunia nzima,...
Na Penina Malundo, Timesmajira Methane ni mojawapo ya gesi za Hydrocarbon ambayo ni gesi inayochangia ongezeko la joto duniani na...
Na Penina Malundo, Timesmajira VIJANA watatu wa Tanzania kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Ndaki ya Tehama ICT (CoICT,wamerejea nchini...
Na Penina Malundo, Timesmajira WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amesema Dunia kwa sasa inapitia wakati mgumu kutokana na mabadiliko ya...
Akagua miundombinu ya barabara, maeneo yaliyotuama maji na mabonde ya mito mbalimbali aliyoathiriwa nyakati za mvua. Na Penina Malundo, Timesmajira...
Na Penina Malundo, Timesmajira Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imesema katika kipindi cha msimu wa Kipupwe(JJA) inatarajiwa kuwa na...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira TANZANIA yaungana na nchi wanachama wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO) kupitisha na kusaini Mkataba...
Na. Stephen Noel, Kagera Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kutafsiri ndoto halisi ya wingi wa...
