Na Agnes Alcardo,Timesmajira Online.
MGOMBEA Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Selemani Kaniki, leo amejitokeza katika Ofisi za Kata ya Zingiziwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kaniki amepokelewa na makada pamoja na wafuasi wa CCM waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu leo.
Tukio hilo lilihudhuriwa pia na viongozi wa chama ngazi ya kata, mashina na wanachama mbalimbali, hali iliyodhihirisha mshikamano wa kijamii katika kumuunga mkono juhudi za CCM.





More Stories
Wagonjwa 500 wafanyiwa upasuaji wa nyonga na goti MNH-Moganzila
Mgejwa:Nishati Safi ya Kupikia ni fursa ya kiuchumi
Tanzania kujenga Chuo Kikuu cha Usafirishaji cha Kanda