
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online
MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya NBC Yanga wamepangiwa na timu ya Mamelodi Sundowns, huku Simaba wakipangiwa na vigogo Al Ahly kutoka Misri katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya klabu bingwa barani Afrika ambapo Simba na Yanga zote zitaanzia nyumbani katika michezo ya mkondo wa kwanza kati ya tarehe 29-31 Machi 2024.

More Stories
Hospital ya Wilaya Mbarali yapokea vifaa tiba
Mpogolo aagiza mitaro Kariakoo kuzibuliwa
TCRA, Polisi na mkakati kudhibiti uhalifu mtandaoni Rukwa