Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Makamu wa Rais amewasili nchini Uganda ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi 25 Wanachama Wazalishaji wa Zao la Kahawa.



More Stories
Mtwange:Mradi wa kuzalisha umeme wa jua Kishapu wafikia asilimia 63.3
Ussi awataka wananchi Handeni kulinda miundombinu ya maji
Wapambe waanza rafu za uchaguzi Morogoro Mjini