Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) ameapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) jana Jijini Arusha.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ameapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) jana Jijini Arusha
More Stories
Miaka 50 ya Tantrade kusherehekewa kwa kishindo
REA yaing’arisha Nishati Safi EXPO 2026 Dar
Wananchi watahadharishwa dhidi ya bidhaa bandia