Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Wanafunzi wa mwaka wa pili wa shahada ya habari na mawasiliano ya umma Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tumaini Dar es Salaam wakiwa ndani ya mapango ya amboni Tanga ikiwa ni sehemu ya ziara ya kumuunga mkono Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye kuhamasisha sekta ya utalii Nchini.Picha na Julius Peter Swai TUDARCo. Kaimu Katibu Mtendaji baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri ardhini LATRA CCC, Leo Ngowi (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya wasioona Tanzania Omari Itambu (wa kati kati) wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Kutoa mafunzo ya matumizi ya tiketi mtandao kwa wasioona.Picha na Victoria Mwakisimba TUDARCo Post Views: 233 Continue Reading Previous Naibu Waziri Kihage aiagiza bodi ya maghala kujenga maghala kisasaNext Kampuni ya BARRON GROUP inayotengeneza kiatu cha shule yajitambulisha kwa Spika wa Bunge More Stories 4 min read Habari Kanisa la Anglican kuendelea kutoa mafundisho kuzuia mmomonyoko wa maadili May 6, 2024 Judith Ferdnand 3 min read Habari Wauza Mlima kwa Sh.Millioni 20 Kilosa May 6, 2024 Penina Malundo 1 min read Habari Watahiniwa 877 Ilemela waanza mtihani kidato cha sita May 6, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Kanisa la Anglican kuendelea kutoa mafundisho kuzuia mmomonyoko wa maadili
Wauza Mlima kwa Sh.Millioni 20 Kilosa
Watahiniwa 877 Ilemela waanza mtihani kidato cha sita