Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi (kushoto) cheti baada ya kushinda katika kipengele cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali yaliyoajiri zaidi wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali uliofanyika jijini Dodoma, jleo. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi (wa pili kushoto) pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo wakifurahia ushindi baada ya kutunikiwa cheti cha ushindi na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto baada ya kushinda katika kipengele cha Mashirika yasiyo ya Kiserikali yaliyoajiri zaidi wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali uliofanyika jijini Dodoma, leo, Septemba 29. Post Views: 534 Continue Reading Previous DC asisitiza matumizi mazuri ya fedha za miradiNext Guza:Ujenzi wa majengo ya serikali wapamba moto More Stories 1 min read Habari Kaya zazingirwa na maji Rukuba kisiwani May 5, 2024 Judith Ferdnand 2 min read Habari Kitaifa Dkt.Yonanzi:Nyumba zinazojengwa Hanang’ ziwekwe anwani za makazi May 5, 2024 joyce kasiki 2 min read Habari Miaka 20 jela kwa kuhujumu TANESCO May 4, 2024 Jackline Mkota
More Stories
Kaya zazingirwa na maji Rukuba kisiwani
Dkt.Yonanzi:Nyumba zinazojengwa Hanang’ ziwekwe anwani za makazi
Miaka 20 jela kwa kuhujumu TANESCO