Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Maofisa wa Jeshi la Polisi Wanawake muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU. Post Views: 707 Continue Reading Previous Wananchi Lukobe, Dkt.Angeline wapongezwa ujenzi madarasa 6Next Matunda ya ufadhili wa Kampuni ya GGML katika picha More Stories Habari Tanzania,Uturuki kushirikiana kuinua sekta ya utalii nchini January 8, 2025 Judith Ferdnand Habari Wanaoficha watoto wenye ulemavu kusakwa January 8, 2025 Judith Ferdnand Habari Mawakili Tabora walaani kuziwa kutekeleza majukumu January 8, 2025 Judith Ferdnand
More Stories
Tanzania,Uturuki kushirikiana kuinua sekta ya utalii nchini
Wanaoficha watoto wenye ulemavu kusakwa
Mawakili Tabora walaani kuziwa kutekeleza majukumu