ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
More Stories
NSSF yazidi kujiimarisha katika masuala ya uchumi
Rukwa mbioni kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa
Jalsa Salana ya 55 kukutanisha washiriki 5,500