Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan pamoja na ujumbe alioambatana nao.Mhe. Nahayan yuko Nchini kuwasilisha  Ujumbe Maalum wa Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Umoja wa Abu Dhabi Mhe. Mohamed Bin Zayed Al Nayhan kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan. Post Views: 421 Continue Reading Previous Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Mary Masanja wilayani MkurangaNext Serikali: Sekta ya maji inahitaji mabadiliko makubwa More Stories Habari Mwalimu adaiwa kumfanyia ukatili mwanafunzi November 6, 2024 Judith Ferdnand Habari NAOT watakiwa kuendana na viwango vya ukaguzi November 6, 2024 Iddy Lugendo Habari Rais Samia kuzindua mfuko wa kuendeleza kazi za wabunifu November 6, 2024 zena chitwanga
More Stories
Mwalimu adaiwa kumfanyia ukatili mwanafunziÂ
NAOT watakiwa kuendana na viwango vya ukaguzi
Rais Samia kuzindua mfuko wa kuendeleza kazi za wabunifu